TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2015/2016

TANGAZO LA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2015/2016

TAFADHALI ZINGATIA: kwa wote waliochaguliwa kwa ufadhili binafsi wanatakiwa kulipa ada kama ilivyoelekezwa katika fomu ya maelekezo (joining instruction).
Kushindwa kufanya hivyo kutapelekea kupoteza nafasi hiyo. Jina la muweka fedha katika fomu ya kuweka fedha benki liwe ni jina la a liyechaguliwa
kujiunga na Taasisi na nakala ya fomu ya kuweka fedha benki itumwe kwa Mkuu wa Taasisi, Taasisi ya Taaluma ya Wanyama pori Pasiansi, S.L.P
1432, Mwanza, Nukushi: +255-(0)282560333, Barua pepe: principal@pasiansiwildlife.ac.tz. Akaunti ya benki ya Taasisi ni Jina la Akaunti:
Principal, Wildlife Training Institute, Namba ya Akaunti: 31101100029, Benki: NMB, Tawi: Kenyatta Road Mwanza.

Orodha