KUITWA KWENYE USAILI

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori – Pasiansi, Mwanza anawatangazia wafuatao ambao walioomba kujiunga na Kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (Basic Technician Certificate in Wildlife Management and Law Enforcement – BTCWLE) kuwa wanatakiwa kuhudhuria usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 29 Juni hadi 30 Juni, 2016 katika kituo kimoja tu cha Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi – Mwanza: