KUITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III (BTCWLE and TCWLE)

Pakua tangazo hilo kisha utaona kama umebahatika kuitwa kwenye interview kwa nafasi uliyoomba.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya
Ardhi Institute Morogoro, Baraza la Kiswahili la Taifa, Baraza la Sanaa la
Taifa (BASATA), Business Registrations And Licensing Agency (BRELA),
College Of African Wildlife Management (MWEKA), The E – Government
Agency (EGA), Geological Survey Of Tanzania (GST), Institute Of Judicial
Administration Lushoto
(IJA), Occupational Safety And Health Authority (OSHA), Procurement And
Supplies Professionals and Technicians Board (PSPTB), Taasisi Ya Sanaa
na Utamaduni Bagamoyo (TASUBA), Tanzania Atomic Energy
Commission (TAEC), Tanzania Broadcasting Corporation (TBC), Tanzania
Cotton Board(TCB), The Tanzania Electrical, Mechanical And Electronics
Services Agency (TEMESA).
Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI), Tanzania Insurance
Regulatory Authority (TIRA), Tanzania Meteorological Agency (TMA),
Tanzania Public Service College (TPSC), Tanzania Smallholder Tea
Development Agency (TSHTDA), Tanzania Trade Development Authority
(TAN TRADE), The Marine Parks And Reserves(TFDA), The Mwalimu
Nyerere Memorial Academy (MNMA), The National Examinations Council
Of Tanzania (NECTA), The Tanzania Engineering, Manufacturing Design
Organization (TEMDO), Tume Ya Haki Za Binadamu Na Utawala Bora,
Wakala Wa Vipimo (WMA), MDAS & LGAS, Ministry of Natural Resources
na Tanzania Forest Service Agency anatarajia kuendesha usaili na
hatimaye kuwapangia vituo vya kazi, waombaji kazi watakaofaulu usaili.