TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

MHIFADHI WANYAMAPORI II – NAFASI 15

Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa
mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa
na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki,
pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea
katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma)
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya
Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 658 za kazi kwa waajiri mbalimbali.
NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za
kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
iv. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye
anwani na namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees)
watatu wa kuaminika.

 • Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya
  kidato cha nne na kidato cha sita kwawale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya
  kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika
 • Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
 • Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
 • Computer Certificate
  2
 • Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
  v. Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati matokeo za
  kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS) HAVITAKUBALIWA.
  vi. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na
  kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).
  vii. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba isipokuwa
  kama wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
  viii. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika
  utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika
  Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.
  ix. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za
  kisheria.
  x. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 28 Juni, 2015
  xi. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira
  HAURUHUSIWI.
  xii. Barua za maombi ziandikwe kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza.
  xiii. Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wakielektroniki wa
  Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani ifuatayo;
  http://portal.ajira.go.tz/
  Anuanihii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sekretarieti ya
  ajira kwa kuingia sehemu iliyoandi kwa;
  ‘Recruitment Portal’
  xiv. MUHIMU: KUMBUKA KUWEKA (ATTACH) BARUA YAKO YA
  MAOMBI KWENYE SEHEMU YA ‘OTHER ATTACHEMENTS’
  xv. Kwa waombaji ambao majina ya vyuo na kozi zao hazipo kwenye
  mfumo wanatakiwa kuandika majina ya vyuo vya na kozi kwa kirefu
  Mfano; Chuo: MWALIMU NYERERERE MEMORIAL ACADEMY
  Kozi: BACHELOR DEGREE IN COMMUNITY DEVELOPMENT

MHIFADHI WANYAMAPORI II – NAFASI 15

 1. MAJUKUMU YA KAZI
   Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi au mbuga za wanyama
   Kusimamia utekelezaji wa utaratibu wa uwindaji na utalii
   Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya wanyama hatari.
   Kukusanya na kulinda nyara za Serikali
   Kufanya usafi na ulinzi
   Kubeba na kutunza vifaa vya doria
   Kudhibiti uingiaji na utokaji wa watu na mali kwenye hifadhi
   Kutunza vielelezo vya ushahidi vya nyara
   Kudhibiti wanyamapori waharibifu
   Kukagua vibali na leseni za matumizi ya wanyamapori.
   Kudhibiti mioto mikali kwenye mapori.

2. SIFA ZA MWOMBAJI
 Kidato cha IV au Kidato cha VI
 Wenye Stashahada ya Uhifadhi wa Wanyamapori kutoka Chuo cha Usimamizi wa
Wanyamapori Mweka au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
 Waliopitia mafunzo ya nidhamu na ukakamavu yanayotolewa na vyuo vya
wanyamapori watapewa kipaumbele. Wale watakaopata nafasi lakini hawana
mafunzo hayo, watapewa mafunzo husika kama sehemu ya mafunzo ya
“Induction”.

3. MSHA

3. MSHAHARA
 Kwa kuzingatia viwango vya Serikali ngazi ya Mshahara TGS. C kwa mwezi.

Leave a Reply

*