Maadhimisho ya siku ya utalii duniani tar 25/11/2015

“WATALII BILIONI MOJA FURSA BILIONI MOJA” “ONE BILLION PEOPLE TOURIST ONE BILLION OPPORTUNITIES”

“WATALII BILIONI MOJA FURSA BILIONI MOJA” hiyo ndio kauli mbiu ya Maadhimisho ya siku ya Utalii duniani Nov 25. Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi Ndg. Laurent Yohana akitoa maelezo kwa mgeni aliyetembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii yaliyofanyika katika viwanja vya Rock Beach Ground Mwanza.