TANGAZO KWA WAHITIMU WA KOZI FUPI.

TANGAZO TANGAZO TANGAZO!!
KWA WAHITIMU WOTE WA KOZI FUPI YA UHIFADHI NA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI NA HIMASHERIA. MNATAARIFIWA KUWA KUCHAGULIWA KWENU KUENDELEA NA KOZI YA CHETI CHA AWALI CHA UHIFADHI NA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI NA HIMA SHERIA KWA MUHULA WA MWAKA 2016/2017 UTATOKANA KIWANGO CHA UFAULU WA KIDATO CHA NNE YAANI KUWA NA UFAULU WA MASOMO MANNE. (KUANZIA ā€œDā€ NNE)
TANGAZO HILI LINATOKANA NA MATAKWA YA BARAZA LA USIMAMIZI WA VYUO NA TAASISI ZA KITAALUMA (NACTE) LINALOSIMAMIA VYUO NA TAASISI IKIWEMO TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI PASIANSI
AIDHA, KWA WALE WENYE VIGEZO VYA KUCHAGULIWA WANATAKIWA KUCHUKUA FOMU ZA KUJIUNGA NA WATAKIWA KUZIWASILISHA KABLA YA 15/07/2016
Pia Matokeo ya kozi fupi namba 4 kwa mwaka huu yameshatoka, ingia upande wa SELECTION/RESULTS kuona.
IMETOLEWA NA MKUU WA TAASISI YA TAALUMA YA WANYAMAPORI
05/07/2016