13
MAR
2020

TANGAZO LA WAKURUFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KOZI FUPI MACHI 2016

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na Kozi Fupi
ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (SCWLE) ya Machi 2016. Kwa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwa mafunzo tarehe 16
Machi 2016