10
AUG
2020

Ziara ya Mhe. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii katika Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi.

Ziara ya Mhe. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt Aloyce Nziku katika Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi. Ndugu Viongozi Wakuu wa Taasisi, Mashirika, Idara na Vitengo  napenda kuwafahamisha kwa kifupi kuwa Tarehe 7/8/2020 Chuo kilipata bahati ya kutembelewa na Katibu Mkuu Wizara Maliasili na Utalii kama picha husika zinavyojieleza. Tunakushuru sana Katibu Mkuu kwa kufanya Ziara husika . Tumefaidika mengi kuhusu ujio wako na tuna ahidi kutekeleza maelekezo mapya yote ya kazi uliyoyatoa