WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO MWAKA 2019/2020

Mkuu wa Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi, Mwanza anapenda kuwajulisha wafuatao kuwa
wamechaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria
(BTCWLE) na Astashahada ya Usimamizi wa Wanyamapori na Hima Sheria (TCWLE) kwa mwaka wa masomo
2019/2020. Waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kuanzia tarehe 16 hadi 18 Septemba 2019 kwa mafunzo ya awali ya
kupima utimamu wa mwili na afya.