Maadhimisho ya Miaka 50 pamoja na mahafali ya 51 ya Taasisi ya Taaluma Wanyamapori Pasiansi.

Leo tarehe 15/6/2016 Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi imefikia kilele cha maadhimisho ya miaka 50 pamoja na Mahafali ya 51 ya tangu kuanzishwa kwake.

Mhe. Mgeni Rasmi Prof. Jumanne Maghembe, Waziri wa Maliasili na Utalii ameongoza sherehe hizi zilizofanyika katika viwanja vya Taasisi.