Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Habari
TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO ELEKEZI KWA WALINZI WA KAMPUNI YA ULINZI YA PASIANSI (PASCO)

TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO ELEKEZI

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Pasiansi Wildlife Security Company Limited (PASCO) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi ya ulinzi zilizotangazwa na kufuzu usaili kuwa wanatakiwa kuripoti katika Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi-Mwanza kwa ajili ya kuanza mafunzo elekezi [orientation & induction] yanayotarajia kuanza tarehe 04/07/2022 hadi.08/07/2022. 

BONYEZA HAPA KUPAKUA TANGAZO LA KUITWA KWA WALINZI WA KAMPUNI YA PASCO KWA MAFUNZO ELEKEZI