Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Habari
Utiaji saini Mkataba wa Ulinzi na Uhifadhi kati ya Kampuni ya Ulinzi ya Pasiansi (PASCO) na TFS Kanda ya Magharibi

Mkurugenzi wa PASCO na Mwakilishi wa ZCC TFS Kanda ya Magharibi wakikabidhiana nakala za mikataba kwa kazi ya ulinzi kwa askari 46, mkataba utakaoanza kutekelezeka hivi karibuni ukiwa na lengo la kuongeza ufanisi katika nyanja za Ulinzi na Uhifadhi katika maeneo mbalimbali yanayosimamiwa na TFS Kanda ya Magharibi.