Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Cheti cha Awali cha Uongozi Utalii na Usalama

Makamu Mkuu wa Chuo na Shughuli za Utafiti na Ushauri anawakaribisha Waombaji wote wenye Sifa za Kujiunga, waombe kusoma ili wapate Maarifa na Ujuzi stahiki unaokubalika katika soko la ajira.

Kozi hii ni ya Mwaka Mmoja na inaanza Oktoba kila Mwaka na Kumalizika Septemba Mwaka Unaofuata, akiwa Chuoni Mwanachuo atafundishwa masomo kwa njia ya nadharia na vitendo ndani ya mihula miwili kama ifuatavyo:

Code

Module Title

Mhula

1

2

TMT 04101

Kanuni za Utalii

 

TMT 04202

Kanuni za Huduma kwa Wateja

 

TMT 04103

Misingi ya Ujuzi wa Kuongoza Watalii

 

TMT 04104

Tafsiri ya Vivutio vya Utalii vya Kibaiolojia

 

TMT 04205

Tafsiri ya Vivutio vya Utalii vya Kiutamaduni

 

TMT 04206

Misingi ya Sheria za Utalii na Uhifadhi wa Maliasili

 

TMT 04207

Misingi ya Usalama na Utalii

 

TMT 04108

Huduma ya Kwanza na Matibabu ya Dharura

 

TMT 04209

Kanuni za Ujasiliamali wa Biashara ya Utalii

 

TMT 04110

Ujuzi wa Fani ya Mawasiliano

 

TMT 04211

Mafunzo ya Awali ya Kompyuta

 

TMT 04112

Ujuzi wa Mbinu za Maisha

 

TMT 04213

Misingi ya Utengenezaji Magari

 

 

FAIDA ZA KUSOMA KOZI YA MSINGI YA UFUNDI WA UONGOZAJI WATALII NA USALAMA

  • Atafahamu kanuni za Uongozaji Utalii     - Basics of Tour Guiding Skills
  • Ataweza kutoa huduma kwa mteja kitaalamu - Customer Care Skills
  • Ataweza kutafsiri vivutio vya kibailojia na kitamaduni kwa Ufasaha – Biological and Cultural Interpretation Skills
  • Atafahamu Sheria za Utalii na Uhifadhi – Tourism and Conservation Laws
  • Atafahamu Misingi ya Usalama na kutoa huduma ya Kwanza kwa Watalii – Tourism Safety, First aid and Emergency Care Skills
  • Atapata Ujuzi wa Kutumia Tarakilishi – Computer Skills
  • Atajifunza Ufundi wa Magari – Basics of Motor Vehicle Maintanance

NYOTE MNAKARIBISHWA