Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Cheti cha Awali cha Uhifadhi Wanyamapori na Himasheria

Kozi ya Astashahada ya Awali ya Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria imeandaliwa kwa ajili ya kuwaandaa vijana waliomaliza kidato cha nne kuwa Askari wa Wanyamapori ambao watafanya kazi katika Taasisi za Serikali, Mashirika Binafsi, Jumuiya za Hifadhi za Vijiji, Makampuni ya Uhifadhi na Uwindaji na Mashirika ya Kimataifa. Mafunzo yanatolewa kwa kipindi cha mwaka mmoja na yatamuwezesha mhitimu kufanya kazi za kawaida za kila siku katika Usimamizi wa Wanyamapori na Himasheria.  Wahitimu wanaandaliwa kufanya kazi pamoja na; ulinzi na doria katika maeneo ya hifadhi nan je ya hifadhi, kukusanya taarifa za msingi kuhusu wanyamapori, na shughuli zingine za kawaida zitakazotolewa na viongozi sehemu za kazi

This one-year course began on  October and ends on September next year.  It covers the following modules:

Code

Module Title

Semester

1

2

WLT04101

Fundamentals of Firearms

 

WLT04102

First Aid and Wilderness Survival Skills

 

WLT04203

Fundamentals of Wildlife Data Collection and Management

 

WLT04204

Basics of Wildlife Laws and Criminal Investigation

 

WLT04205

Anti-Poaching Patrols

 

WLT04106

Paramilitary Techniques in Wildlife Protection

 

WLT04207

Basics of Ornithology

 

WLT04108

Fundamentals of Invertebrates’ Management

 

WLT04209

Fundamentals of Herpetofauna and Fish Management

 

WLT04110

Basics of Mammalogy

 

WLT04111

Fundamentals of Botany

 

WLT04212

Basics of Wildlife Management and Ecology

 

WLT04213

Tourism and Community Conservation

 

WLT04214

Entrepreneurship and Life Skills

 

WLT04115

Basics of ICT