Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi

Majukumu ya Taasisi

Majukumu ya Taasisi

  1. Kuwezesha mafunzo kwa vitendo katika misingi ya usimamizi endelevu wa maliasili, tamaduni na utalii
  2. Kufundisha maadili na nidhamu ya Jeshi la Uhifadhi
  3. Kuandaa mitaala inayozingatia mahitaji ya wadau
  4. Kutoa huduma za ushauri elekezi kwa umma